VANESSA MDEE NGOMA YAKE MPYA INAZIDI KUPATA SHAVU NCHINI KENYA

Mtangazaji wa Choice FM 102.5 maarufu kama Vanessa Mdee baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Closer,sasa tumefahamu kwamba ngoma hii inazidi kukubali na kuchezwa na ma Deejayz na radio mbalimbali za nchini Kenya.Big up to her!!!!!!!!!!!!

Post a Comment

Previous Post Next Post