NEWS: JAHAZI LILOKUA LITOKEA TANGA KWENDA ZANZIBAR LAZAMA LIKIWA NA ABIRIA 32 ENEO LA NUNGWI

picha hii ni ya bot iliyozama mwaka jana

Taarifa zilizopo wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo Sunrise likitokea Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote.

Kamanda wa Polisi Zanzibar amesema kuwa  “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye chombo ni watu 32 hivyo watu bado watu 11 hawajulikani walipo”
endelea kupita hapa kwa habari kamili ya tukio hili.

Post a Comment

Previous Post Next Post