
Director kutoka Arusha maarufu kama Nisher baada ya kufanya vizuri katika upande wa production kupita Nisher Entertainment sasa
anazidi kuwafutia watu wengi sana katika tasnia hii ya muziki,sasa
kesho anatarajia kutua Dar es Salaam kwa kujiandaa kufanya video mpya ya
Dj choka Press Play kutoka B hits. kwa wale ambao wanasubiria video
mpya ya Press Play basi huyu ndiye atakayehusika katika kichupa hicho.

Post a Comment