
Klabu ya
simba imekubali kumuuza mchezaji wao tegemeo wa kimataifa OKWI katika
klabu ya Etoile du-sahel ya Tunisia kwa mkataba wa miaka miwili na nusu
na amesaini fedha ya kitanzania zaidi ya milioni mia tano.
kwa
mujibu wa katibu mkuu wa Simba RAGE amesema mchezi huyo analipwa
shilingi milioni ishirini kwa mwezi na amepewa nyumba ya kuishi na
familia yake.
إرسال تعليق