Msanii kutoka Tmk Wanaume Family maarufu kama Chege Chigunda baada
kutamba na ngoma kali iliyofahamika kwa jina la Mwanayumba,sasa basi
kwa sasa hivi yupo katika maandalizi ya kuachia video yake mpya
inayokwenda jina la Uswazi.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo mpya ya chege Uswazi.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo mpya ya chege Uswazi.

إرسال تعليق