
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mwasiti Mohamed ‘Shishi’ amefunguka kuwa hajakutana na mwanaume kwa takribani miaka mingi iliyopita.
Shishi anadai kuwa tangu agombane na
mpenzi wake ambaye hakumtaja miaka mingi iliyopita, hadi leo hamjui
mwanaume.

“Haah! Aisee ni miaka mingi kwa kweli sijaduu, kila
nikikumbuka yule mwanaume alivyonizingua, sikutamani tena tendo la
ndoa,” alisema Shishi.
إرسال تعليق