
AMA G msanii tokea pande za rockcity Mwanza anayefanya vizuri kupitia
video ya NENDA SALAMA anatoa shukrani kwa Watanzania kwa kumpokea vizuri
kupitia ngoma ya NENDA SALAMA msanii huyo anayetarajia kuondoka
Tanzania mwishoni mwa mwezi huu kuelekea South Africa kwa ajiri ya
kushoot Video ya ngoma mpya ambayo hajapenda kuzungumzia kwa sasa ila
amawataka watanzania kuwa tayari kwa ujio mpya na muonekano mwingine wa
msanii huyo ndana ya mwaka huu wa 2013,pia anatoa shukrani kwa Media
zote kumpokea vizuri pamoja na Management nzima ya TAILANO MUSIC chini
ya producer Amigar Tygar.
إرسال تعليق