VIDEO YA WIMBO WA BELLE 9 "LISTEN" KUACHIWA TAREHE 18 MWEZI HUU
Hisia0
Belle 9 baada ya kutambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la
Listen kwa mashabiki wake,sasa leo ameweka siku ya kutoa video yake mpya
ya Listen ambayo anatarajia kuichia siku ya tarehe 18 mwezi huu.
إرسال تعليق