Jamani
huyu mtoto wa miaka 10 yupo katika hospitali ya wilaya nachingwea na
hivyo unavyoviona ni vidonda vilivyotoa usaha!hospitali haina dawa na
wamepewa uhamisho wa hospitali lakini wazazi hawana ki2 so ikiku-touch
msaada unatakiwa kutoka kwako....ukiwa karibu na wilaya ya nachingwea
tembelea wodi ya wanaume au ukiwa mbali unaweza kuchangia kwa tigo pesa
0712662546.
Post a Comment