![]() |
| Mbwana Samatta wa Tanzania akifunga bao baada ya kumlamba chenga kipa wa Cameroon, Efalla Komguep katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu hizo jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania, Taifa Stars ilishinda 1-0. |
Picha Na:- Bin Zubeiry( http://bongostaz.blogspot.com/ )
![]() |
| Beki wa Stars, Erasto Nyoni akimtoka beki wa Cameroon, Assou Ekotto |
![]() |
| Thomas Ulimwengu akiwa ameruka juu na kipa wa Cameroon, Efalla Komguep kuwania mpira wa juu |
![]() |
| Mbnwana Samatta akipambana na mabeki na kipa wa Cameroon |
![]() |
| Kiungo Frank Domayo wa Tanzania kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Cameroon, Nyom Allan |
![]() |
| Wachezaji wa Tanzania wakishangilia bao lao lililofungwa na Samatta waliyemdandia |
![]() |
| Wa Mazembe, si wazembe; Thomas Ulimwengu akimpongeza mshambuliaji mwenzake wa TP Mazembe ya DRC, Mbwana Samatta kuifungia Stars leo |
![]() |
| Kikosi cha Cameroon leo |
![]() |
| Kikosi cha Stars leo |
![]() |
| Samatta akimfunga tela Ashu Clovis |
![]() |
| Thomas Ulimwengu akiwalamba chenga mabeki wa Cameroon |
![]() |
| Beki Shomary Kapombe akitia krosi huku beki wa Cameroon, Nyom Allan akiipisha |
![]() |
| Beki wa Cameroon, Aminou Bouba akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto |
![]() |
| Hapa ndipo Stars ilipopata penalti, beki Ngoula aliupitia mpira miguuni mwa Samatta akitokea nyuma ndani ya eneo la hatari |
![]() |
| Beki wa Cameroon, Assou Ekotoo akimiliki mpira mbele ya kiungo Mrisho Ngassa wa Tanzania |
![]() |
| Ekotto akimiliki mpira mbele ya Ngassa |
![]() |
| Beki Pierre Wome wa Cameroon akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Samatta, huku Ekotto kulia akiwa tayari kutoa msaada |

















Post a Comment