ANGALIA PICHA:- DIAMOND ALIVYOKINUKISHA NDANI YA SAFARI JIJINI ARUSHA.


Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abudul(diamond Platinum)akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya  klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha
 
Msanii diamond akiwapagawisha mashabiki wa Arusha waliouthuria katika show 
Wakwanza kutoka kulia ni mkurugenzi wa mwandago investiment akifuatiwa na meneja masoko wa K-vant Gin Godluck kwayu,meneja wa sigara kanda ya kaskazini jina halijaweza fahamika mara moja akifuatiwa na meneja wa TBL nao waliudhuria katika show ya diamond platinum 
Picha juu na  chini ni warembo wa  kituo cha radio 5 ambao ndio wathamini wa kuu wa show hiyo ya diamond plaatinum

Post a Comment

أحدث أقدم