Wakazi wa kijiji cha Bagilo kata ya Kinole halmashauri ya
wilaya ya Morogoro wakiwamwangalia simba aliyeuawa na askari wa
wanyamapori wa halmashauri hiyo baada ya simba huyo kukamata na kuua
mbuzi 47 katika vijiji vitano tofauti vya tarafa ya Mkuyuni mkoani hapa
jana.
PICHA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
PICHA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Mmiliki
wa blog Juma Mtandaa akimkagua Simba huyo mara baada ya kufikishwaa
katika ofisi za Maliasi mkoa wa Morogoro muda mfupi kabla ya kuchunwa
ngozi kwa mnyama huyo.
Afisa
wanyamapori halmashauri ya wilaya ya Morogoro Iddi Ndabagenga akimkagua
simba huyo.
Askari
wa wanyamapori wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro Abdallah Mayingi
kushoto na Jontas Sume kulia ndiyo waliohusika katika zoezi la kumua simba huyo.
Hapa zoezi la kumchuna ngozi likiufanyika katika ofisi za maliasili Morogoro.
Post a Comment