USIKU
wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa
msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum,
nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu
ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au
wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika
shughuli hiyo.
Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa
.... utanitaka leo.... ukikubali mambo yetu.....
Dada wa Diamond, kushoto akizungusha nyonga na mmoja wa marafiki za...
Keki ya sherehe hiyo ikiwa mezani huku mwenye sherehe akipongezwa na rafiki yake
إرسال تعليق