Ladies, Can You Pay A Man For S**x?

Tumezoea katika jamii wanaume kulipia pale anapotaka s**x kwa mwanamke kiasi kwamba kumekuwa hadi na biashara huria inayoendeshwa na wadada maarfu kwa jina la CD kwa hapa Bongo.

Swali kwa ma ladies, Je unaweza mlipa mwanaume ili tu upate s**x kwake?

Post a Comment

أحدث أقدم