Mwanamuziki
wa Kimataifa wa Ngoma za Kimataifa Che Mundugwao akiwa na Washiriki wa
Miss utalii Tanzania 2012-13 katika show ya ufunguzi wa shindano hilo.
Majaji wa Shindano la Miss Utalii Vipaji 2012-13 wakiwa wanajiandaa kutoa matukio ya walioshinda katika 10 Bora
Hawa
ndio washiriki wa Miss Utalii vipaji 10 waliofanikiwa kuingia katika 10
Bora. Kutoka kulia ni Miss Utalii Ruvuma,Manyara,Lindi,Zanzibar,Dar es
salaam 1,Kagera 1,Vyuo vikuu 1 Kigoma,Dodoma, Katavi
Raisi
wa Miss Utalii Tanzania Mh. Gidion Erasto Chipungahelo akiwataja
washindi kumi walio fanikiwa kuingia katika fainali za Miss Utalii
Vipaji
Muheshimiwa
Mbunge Iddy Azzan akiwapongeza Washiriki wa Miss Utalii Tanzania walio
Fanikiwa kuingia katika nusu fainali hiyo ya Vipaji
Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan akiwa anacheza Kwaito pamoja na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13
Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan wa Jimbo la Kinondoni akizungumazia juu ya show nzima ya vipaji jinsi ilivyo kuwa.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya Kandindi katika ufunguzi wa show yao.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika mavazi ya ubunifu
Anaitwa Dogo Ginious ambaye ni msanii anayechipukia akitumbuiza wakati wa Show hiyo ya Miss Utalii Vipaji 2012-13
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya kwetu Mahenge
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika kucheza ngoma za asili
Kutoka
Kushoto ni Rais wa Miss Utalii Tanzania Mh. Gedion Erasto
Chipungahelo,Jaji wa Mashindano , Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan, na Jaji
wa Shindano hilo wakitazama show hiyo ya vipaji.
Washiriki wa Miss utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanaonesha show maalum kwa ajili ya ngoma kutoka mikoa Mbalimbali
Wataalam wapiga ngoma kutoka kundi la Kaole wakipiga ngoma hizo wakati warembo wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakicheza
Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan wa pili kutoka Kushoto akifuatilia show kwa umakini
Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan akiwa anacheza Kwaito pamoja na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya Kandindi katika ufunguzi wa show yao.
إرسال تعليق