Mwanamke ambaye jina lake halikufahamika mara moja mkazi wa Buhare
Mgaranjabo, mjini Musoma, amekutwa amekufa kwa kunyongwa na khanga na
mwili wake kutupwa kichakani na watu wasiojulikana huku nguo zake za
ndani zikiwa zimechanwa.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi
wa Mkoa wa Mara, Absalom Mwakyoma ilisema tukio hilo lilitokea..Read More
Source: Ziro99
Source: Ziro99
إرسال تعليق