KITALE KUVUTA JIKO MCHANA WA LEO!

 
MSANII wa vichekecho Bongo, Mussa Kitale, anatarajia kuoa mchana wa leo nyumbani kwa mkewe mtarajiwa Mwananyamala Komakoma jijini Dar es Salaam, hivyo wale wote wanaopenda mpunga wa sherehe mnaweza kuanza kujongea pale kuanzia time hizi maana watu wanatengemea kujilamba viganja kuanzia mishare ya saa 7, mara tu baada ya kufungishwa pingu za maisha wawili hao.

Post a Comment

أحدث أقدم