
Hii
sio gari yake ya kwanza, ametumia miezi kama mitano kukusanya milioni
16 za kuagiza hili gari Japan, kazi yake ya muziki imechangia kwa
asilimia 100 kupatikana kwa pesa ya kununua hili gari.

.

Mwasiti
pia kwenye hii Exclusive interview ametoa siri kwamba kwenye miezi
minne ijayo Mungu akijalia atahamia kwenye nyumba yake ya vyumba vitano
iliyoko Mbezi Luis Dar es salaam ambako ndio Profesa J pia alikojenga,
mafanikio yote haya yanatokana na ajira yake ya muziki akiwa ni binti wa
miaka 27.

.

.

Mwasiti hakupenda hili swala
liingie kwenye media lakini amekubali baada ya kumsisitizia,unaweza
kumsikiliza hapa chini akifunguka zaidi.
Chanzo:- http://millardayo.com/
إرسال تعليق