Shindano hilo ambalo linatarajiwa kuanza kufanyika mwishoni mwa mwezi wa
tano mwaka huu ambalo huchukua washiriki kutokea nchi tofauti za Africa
na kuishi kwa pamoja kwa takribani siku 90. Kutoka Tanzania, ma-star
waliochukua fomu hizo hadi sasa ni mwanadada Wema Sepetu, Hemedy na
Q-Chief.
Q-Chief Achukua Fomu Za Kushiriki Big Brother Africa
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT

إرسال تعليق