
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita
10.1 inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi
njia panda ya kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa
JWTZ Mbezi Beach

Vijana Jazz Band wakipamba moto kwenye hafla hiyo

Waheshimiwa Madiwani wa Kinondoni katika hafla hiyo

MC Ephraim Kibonde akiwa kazini

Sehemu ya
barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013.

Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake

Meya wa
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na
Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina
la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya
Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda aongea

Sehemu ya uzinduzi rasmi

Meya wa
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar
Rais Mwai kibaka huku Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Rais Mwai kibaki akimshukuru Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kwa kumkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar

Rais Mwai
Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya
Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013

Rais
Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya
Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Vifijo kwa wingi

Hongera Mzee Kibaki anasema Rais Kikwete

Mstahiki Meya ampongeza Rais Kibaki ambaye naye anamshukuru kwa heshima hiyo

Mzee ubarikiwe anasema Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli baada ya uzinduzi huo
source matukio michuzi
إرسال تعليق