Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa
visu huku mmoja ambaye ni mtoto yatima na mfanyakazi wa ndani akiuawa
kikatili kwa kunyongwa na ndugu wa mwenye nyumba katika mtaa wa Kawawa
katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.
إرسال تعليق