"Sitegemei Waganga Kupata Mafanikio Makalio Yangu Asset Tosha" - Snura

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetesa na staili ya Mauno anapokuwa jukwaani “Snura Mushi aka ‘Snura’ siku za hivi karibuni akihojiwa na mwandishi wetu mwanadadahuyo amefunguka na kusema  kuwa anafanya kazi zake kwa kujituma na hajiusishi na ushirikina hata kidogo ili kupata mafanikio kwani hadhani kama vina faida katika tasnia ya muziki na wala hajawahi kwenda kwa mganga wa jadi kufanya ushirikina ,Akasema anajiamini as umbo lake ni asset tosha katika fani yake mpya ya mziki

Kwa mujibu wa Snura mwenyewe, Wasanii wenzake na watu mbalimbali wanaotumia ushirikina katika kazi zao hawana uwezo na wanakosa ubunifu kwani watanzania wengi hawawezi kumpokea mtu kwa sababu ya ushirikina hata kama kazi zake ni mbaya .

Post a Comment

Previous Post Next Post