Huu
ni mkasa wa mwanachuo wa kike aliyekutana na tapeli aliyejifanya yeyey
ni mzungu yuko marekani.Baada ya kuzungumza kwa sms wakati wanachati
ndipo mzungu huyo alipomuuliza mwanachuo huyo kama anaweza kuvua nguo na
kucheza uchi huku akimwangalia kupitia webcam,na kisha kutoa hadi ya
kumtumia kiasi cha fedha baada ya mwanafunzi huyo kufanya
hivyo.mwanachuo alifikiri anachati na mzungu kweli kumbe alikua
tapeli.kijana huyo alitumia uhuni wa kuweka picha ya mzungu ili aweze
kumpata dada huyo kirahisi .Baada ya dada kukubali kucheza nusu uchi
,ndipo kijana huyo alimrekodi na kuposti video iyo ikimwonesha binti
huyo akicheza nusu utupu
إرسال تعليق