Vuguvugu la kampeni za uchaguzi Kenya….

Nchini Kenya,wakati huu wagombea wakiwa katika kampeni za kunadi sera zao kuelekea uchaguzi mkuu, tayari wagombea wa juu wa kiti cha urais,sambamba na wagombea wenza wamekwisha orodheshwa rasmi katika orodha ya wagombea.
 Jumla ya wagombea wanane watawania kiti cha urais katika uchaguzi huo. Wakati huohuo wagombea wawili wakuu wa Urais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wameidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Post a Comment

Previous Post Next Post