
Wamarekani wanaosaidia miradi mbalimbali nchini Tanzania wakifanya
mkutano San Francisco, California, nchini Marekani mtaa wa San Pablo Ave
na kuzungumuzia mipango na kuweka mikakati ya kuboresha miradi hiyo
iliyopo mikoa mbalimbali nchini Tanzania

Wamarekani wanaosaidia miradi mbalimbali nchini Tanzania
wakibadilishana mawili matatu baada ya mkutano uliofanyika San
Francisco, California nchini Marekani.

Wakipata picha ya pamoja baada ya mkutano, kushoto ni Walter Minja.

Wamarekani wanaosaidia miradi mbalimbali nchini Tanzania wakiwa
pamoja na baadhi ya Watannzania kwenye mkutano huo wakibadilishana
mawazo huku wakiendelea kupata machopochopo

Erica Lulakwa msanii wa kizazi kipya akitumbuiza kwenye mkutano huo.

Wamarekani wanaosaidia miradi mbalimbali katika mikoa tofauti nchini
Tanzania wakiongea na kubadilishana mawili matatu baada ya mkutano
uliofanyika San Francisco, California nchini Marekani.
Picha na Walter Minja, California
إرسال تعليق