Viongozi
wa madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo
kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini
Mwanza Februari 16,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Viongozi
wa madhehebu ya Dini ya Kiislam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo
kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini
Mwanza Februari 16,2013.

Sheikh
Hasani Kabeke wa Mwanza akichangia katika kikao cha klutatafuta
muafaka kati ya Waislamu na Wakristo kuhusu uchanjaji wanyama
kilichoitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Banki Kuu
jijini Mwanza Februari 16, 2013.

Mkurugenzi
wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba
akichangia katika kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Viongozi wa
dini za Kikristo na Dini ya Kiislamu cha kujadili mgogoro wa uchinjaji
wanyama kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
Februari 16,2013.


Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda kijadili jambo na Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Ahmed Ali
(kushoto) na Sheikh wa msikiti wa Buswelu, Athumani Ali katika kikao
cha kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kati ya Waziri Mkuu na
viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu kilichofanyika kwenye ukumbi wa
Benki kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).

إرسال تعليق