Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.
Uongozi
wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo
Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa
Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.
Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii
إرسال تعليق