[AUDIO] NEW: Peter Msechu - LALA Bi. KIDUDE .

 
Tukiwa tunaendelea kuomboleza msiba wa Bibi yetu, Marehemu Bi. Kidude baadhi ya wasanii wameanza kufanya nyimbo kumuenzi ...
Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na mwanamuziki Peter Msechu kwa ajili ya kifo cha mwanamuziki huyo mkongwe kutoka Zanzibar ukiwa unaitwa ''LALA BI. KIDUDE'' ...
Hii inaonyesha ni jinsi gani wasanii kama msanii huyu walivyoguswa na msiba huu na kuamua kutunga wimbo wa kuomboleza katika msiba huu ...
Kuwa wa kwanza kuusikiliza LALA BI. KIDUDE hapa chini :

Post a Comment

أحدث أقدم