 |
Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya jana..... tarehe 16
mwezi wa 4...mapema asubuhi ya jana...Tukifanikisha kile watu wengi walichokuwa wakikisubiria kwa hamu..... Tulikuwa location jana na brother wangu kabisa, The True Boy Nay wa Mitego wakati tukishoot video ya New Hit Song yake akiwa
amenishirikisha humo ndani..! Namshukuru Mungu kwa uwezo wake kufaikisha
mipango yote ya location kwenda saawia kabisa na kufanya wepesi kwa kila jambo.....pia
bebiz kali zote za town walishow love kufika na ballerz walionesha ushirikiano....!!
Napenda Pia kuushukuru Uongozi mzima wa New
Africa Hotel.....kwa location ya casino.....pia na uongozi mzima na wafanyakazi wa
New Africa hotel upande wa Casino....!! video ilianzia hapa new africa hotel na kumalizikia Sinza uwanja wa kinesi kwa upande wa Mkong'oto Jazz Band walipoonesha
umahiri wao kuchora Graphics..... Production ikiwa imesimamiwa na The Bigdaddy Adam Juma chini ya NEXT LEVEL
Zifuatazo ni Picha Mbalimbali za Location ya video shooting ya Muziki Gani...
|
 |
| LOCATION ILIANZIA HAPA.... |
 |
| Matayarisho yakianza....!! |
 |
| Lights On.....Camera On Set....!! |
 |
| Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
 |
| Usafii kama kawaida yangu.....!! |
 |
DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
Dada yangu kipenzi Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi
kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!!
 |
| Diamond Platnumz with Flowers....! |
 |
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
 |
| Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
 |
| President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
 |
| The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!! |
 |
| Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
 |
Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
 |
| WASAAAFIIIIII......!! |
 |
| Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
 |
| MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
 |
Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
 |
| on set...location #2 sinza....... |
 |
| DJ OMMY CRAYZZ...! |
 |
| Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
إرسال تعليق