Mkufunzi wa mafunzo kutoka TFF, Ndg Luiza akiwa na mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ndg. Azizi Abed kushoto aliyesimama
Picha hizi zimepigwa kwa Simu,samahani kwa picha zisizokuwa na ubora
Mwalimu Mfaume Abdallah, mwalimu wa michezo kutoka Shule ya Msingi Guduwi akiwa katika mafunzo hayo.
Katibu wa chama cha mpira wilaya ya Bariadi Ndg. Sologo, akiwa uwanjani akiangalia mafunzo(Copa test ikivyoendelea
Mkufunzi wa TFF Taifa Ndg A. Luiza, kushoto, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Urefa, wakiwa wamepumzika baada ya Copa test
Picha Na:- httpAzizi Abeid na Mfaume Abdallah
Post a Comment