Tukio hilo la aibu lilitokea saa 11:00 alfajiri ya tarehe 27
march mwaka huu baada ya mumewe kuweka mitego mikali
iliyopelekea kumnasa live mkewe akipewa mambo na rafiki ya
mumewe.....
Kabla ya fumanizi hilo, mumewe aliaga anaenda Dar.Mkewe alimsindikiza mpaka stendi huku akiwa na furaha tele.....
Jamaa alishukia njiani na kurudi kinyemela.....Za mwizi arobaini, mida ya saa saba usiku,Gari lenye rangi nyeupe lilitua nyumbani kwa jamaa na kushuhudia mkewe akitoka nje na kupanda ndani ya gari hilo.........
Mumewe pamoja na kundi zima la waandishi wa Udaku-GPL walianza kulifuatilia mpaka walipofanikiwa kumnasa mwanamke huyo na rafiki wa mumewe....

Post a Comment