Heshima kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo
unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka
nyumbani kwao kwenda kupanga chumba,je hili mnalionajae liko sawa au
sio sawa kwa maana m`ke hata kama amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao
mpk mungu atakapojaalia kumpata mwenza wa halali,nakaribisha mawzo yenu
wadau
Je Mwanamke Kutoka Nyumbani na Kwenda Kupanga Mtaani ni Sahihi
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
Post a Comment