LINEX AKANUSHA UVUMI UNAOENDELEA MTAANI KUWA AMEMPIGA UWOYA, NA HAYA NDIO ALIYOYASEMA

Nimesikitiswa sana na uzushi uliotapakaa kwamba nimempiga uwoya kwa nn nimpige mm ni nan kwake? Hajawahi kua mpenzi wangu naomba watu waelewe she iz my friend nothn special kwa kupitia ule msemo wa mke wa mtu sumu sijawahi kutaman au kua na ndoto ya kua na mahusiano na uwoya#hope mtanitrust wenu katila kazi @linex sunday mjeda.
Unlike ·  ·  ·  · 3 minutes ago via mobile · 

Post a Comment

Previous Post Next Post