
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli
ya Kunduchi Beach, kufungua ramsi mkutano wa siku tatu wa mwaka kuhusu
Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza jana April 3, 2013 katika
Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia washiriki wa mkutano wakati akifungua ramsi mkutano wa
siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa,
ulioanza jana April 3, 2013 katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es
Salaam.

Mwenyekiti
wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akichangia wakati wa mkutano mkutano wa
siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza jana April 3, 2013 katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo umefunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu
wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua ramsi mkutano wa siku tatu
wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza jana April 3, 2013 katika Hoteli ya Kunduchi Beach

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa siku tatu wa mwaka
kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, baada ya kuufungua mkutano
hio, ulioanza leo April 3, 2013 katika Hoteli ya Kunduchi Beach.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
إرسال تعليق