Press Release (NEW WEBSITE)
Taarifa kwa wapenzi wote wa Filamu Tanzania
Bongomovies unit waja na website yao rasmi
Chama cha Bongo movies (Bongo Movies Unit) kitazundua rasmi website yao iitwayo www.bongomovies.com siku ya tamasha la linaondaliwa na kampuni ya Steps Entertainment litakalofanyika tarehe ishirini (20) mwezi huu kwenye hoteli ya Serena iliyopo Dar es salaam
Website hii ni maalumu kwa wapenzi wa filamu wote nchini kwani pamoja na habari rasmi za wasanii wa Bongo Movies pia itatoa habari za maisha yao ya kila siku, historia zao na filamu zao zote kwa ujumla.
Kwa maelezo ya zaidi kuhusu tovuti hii rasmi ya Bongo movies wasiliana na Admin wa bongomovies.com kupitia:
Cell: 0714 022929
Email: media@bongomovies.com
Imetolewa na:
Simon Mwapagata “Rado”
Mob: 0655 180888
Katibu – Bongomovies Unit.

إرسال تعليق