PICHA:- PARTY YA KAJALA NDANI YA AMBASSADOR LOUNGE"WELCOME BACK KAJALA"
Hisia0
Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ambassador Lounge, Kajala alifanyiwa
bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki
wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea. Hizi ni baadhi za picha.
Post a Comment