Rais wa Malawi Joyce Banda amcharukia Madonna

David-Banda-Goes-Tour-Madonna[1]


Rais wa Malawi, Joyce Banda amemcharukia mwanamuziki Madonna kwa kile anachodai kudanganya kujenga shule 10 nchini humo.

Joyce Banda ametoa kauli hizo wakati staa huyo akiwa ziarani nchini humo. Madonna alianzisha mradi wa Raising Malawi baada ya kuudopt mtoto wake wa kiume David Banda mwaka 2006 na mtoto..read more
Source: Bongo5

Post a Comment

Previous Post Next Post