PICHA YA MWANGA ALIYEKAMATWA AKIWA ANARUKA NA UNGO HUKO SHINYANGA


She was flyiing with a broom n fell on the ground. Where do u think she is coming from?

Shabi
Hii hali sasa imekua tete, kama mnakumbuka wiki tatu zilizopita tuliwaletea habari ya mwanga aliyekamatwa huko arusha akiwa anawanga kwenye nyumba ya mtu akiwa uchi, sasa hivi hii imetokea huko shinyanga. Bibi huyu alikamatwa baada ya kudondoka na ungo wake aliokuwa akisafiria, bado haijajulikana alikuwa anaelekea wapi......Balaaaa!!!!

Post a Comment

Previous Post Next Post