Tamasha lililopangwa kufanyika leo viwanja vya 
Leaders Jijini Dar es salaam na wasanii wa bongo movies limeshindwa 
kufanyika leo ijayo kutokana na mvua kubwa kunyesha jijini Dar es salaam
 na hivyo kusababisha viwanja kujaa maji. 
Akitoa taarifa hizi katibu wa bongo movies unit, simon mwapagata alisema tamasha hili litafanyika tena ijumaa ijayo.
Chanzo:-  bongomovies.com
إرسال تعليق