TASWIRA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiteta na Kufurahia Jambo na Mbunge wa Ludewa-CCM, Deo Filikunjombe Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013.Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ali Abeid.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Post a Comment

أحدث أقدم