TAIFA STAR WAAGWA TAYARI KWENDA ETHIOPIA LEO

Shomary Kapombe, Juma Kaseja na Zahor Pazi wakipita jukwaani wakiwa ndani ya suti mpya za Taifa Stars zilizotolewa na wadhamini ambao ni Bia  ya Kilimanjaro Premium Lager na kukabidhiwa katika hafla ya kuwaaga iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency na kuwashirikisha wadau mbalimbali wa michezo.
Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa ndani ya suti mpya za kisasa walizokabidhiwa leo katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

أحدث أقدم