Hii ndio kamati kuu ambapo P Funk amekuwa mkuu wa kamati na wasanii wengine waliokuwa kwenye kamati ni Wasaanii wa Chemba Squard (Noora na Mez B), Jay Moe, Lady Jadee, Professa Jay Micheli Mzungu, Rommy Jones, Madam Juma na T.I.D, Chizi Mox
Kikao cha kamati kuu ikikiendelea ili kutoa kitakachofanyika kwenye msiba wa Marehemu Albert Mangwea
Mchizi Mox(kushoto) akieleza jambo kwenye kamati kuu iliyotajwa mida hii kwenye viwanja vya leaders Club katikati ni P Funk akiwa na karani (kulia)
Noorah (kushoto) akiwa na Mez B (katikati) Wanachemba wakiwa na Profesa J kwenye kikao cha kamati
Watu wakibadilishana mawazo baada ya kamati kuu kukaa kwenye kikao cha siri
Dada wa Marehemu akieleza jambo kwenye vyombo vya habari
PICHA NA PAMOJAPURE BLOG
إرسال تعليق