
Habari iliyosambaa hivi sasa kupitia mitandao ya jamii nchini Kenya na
kuwashangaza wakenya wengi ni kuhusu mwanaume mmoja raia wa kigeni na
wasichana 11 waliokamatwa Mombasa kwa tuhuma za kushoot video ya ngono
na mbwa.
Kwa mujibu wa Baraza la Maimamu na Wahubiri wa Kenya (CIPK) tukio hilo
ni la aibu kwa jamii na inahitaji kukemewa. viongozi hao wametoa wito
kwa polisi kufanya uchunguzi kamili na kuhakikisha kuwa pande zote
zinazohusika zinafikishwa mbele ya sheria bila woga au upendeleo.
Viongozi hao wamebainisha kuwa baadhi ya matukio yanachangiwa na ukosefu
wa msimamo kutoka kwa viongozi wa serikali na viongozi wa juu, juu ya
masuala hayo.
'Hii sasa imefikia hatua ya kusumbua sana, kama binti zetu wanaweza
kwenda nje na kulala na mbwa, na ni polisi pekee ndio wanaweza
kusimamisha uovu huu,w kwa sababu hata baadhi ya viongozi wetu wa sasa
na wa zamani katika serikali kamwe ameshindwa kujitoa na kuonyesha
msimamo wao juu ya masuala hayo 'alisema Sheikh Khalifa Mohammed CIPK.
Sheikh Khalifa amebaini kwamba kuna club nyingi za wacheza uchi
{stripper} na madanguro hasa Mombasa na Kilifi ambapo wasichana wenye
umri mdogo kuwaburudisha wateja wao huku wakiwa uchi na kuwataka
viongozi wa serikali na serikali kwa jumla kuzifunga sehemu hizo.
haya ndio majina ya watuhumiwa wa kosa hilo. Janeth
Amollo, Christopher Clement Weissenrieder, Mercy Waithera Karanja,
Beatrice Mueni Mwosa, Mary Nyambura Kimani, Magdaline Wairimu Chege,
Celestine Nekesa Sitati, Dorcus Melisah Indakwa, Lydia Nyaboke Momanyi,
Beatrice Mueni Mwosa, Phidelia Mawia Sollomon, Anne Wanjiku Gichuki na
Cecilia Nzambi Katuku.
إرسال تعليق