ADAM JUMA (MTAYARISHAJI WA VIWANGO VYA JUU VIDEO ) AACHA KAZI YA KUSHOOT MUZIKI

 

Taarifa iliyotufikia ni kwamba Adamu Juma adai kuacha kufanya video za muziki,Akiongea na mtandao wa blogu ya mwananchi Adam juma amesema kwamba kwa sasa anafanya kazi na NGOs mbali mbali kuelimisha jami,alisema tena kwamba video production ni business yake lakini kwa sasa "right now im not doing"lakini bado kuna wasanii anawasiliana nao kuwasaidia kibiashara na kimaendeleo soim still around.Adam juma amesema haoni kama kutakuwa na pengo kwa yeye kutofanya video kwani kuna video production company nyingi zinafanya vizuri tu

Post a Comment

Previous Post Next Post