JINA LA MTOTO WA KANYE NA KIM LAJULIKANA


Jina la mtoto wa kike wa rapper KANYE WEST lajulikana … Lilikuwa likisubiriwa na wengi ili kuweza kufahamu kama ilivyokuwa kwa mtoto wa Jay-Z na Beyonce … “BLUE IVY”
Mtandao wa TMZ kutoka America umeripoti mtoto huyo amepewa jina la NORTH … Yaani NORTH West. Jina hilo ambalo inadaiwa ndio lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa, wazazi hao watatumia zaidi “NORI” ambacho ni kifupi cha NORTH 

Post a Comment

أحدث أقدم