Malkia wa mipasho Khadija Omari Kopa amefiwa na mumewe (Jaffari Ally)
usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo, jijini Dar es
salaam.Marehem alilazwa katika hospitali hiyo siku ya jumatatu ya wiki
hii, na mpaka anafariki mke wake (Kadija Kopa) alikuwa Rukwa kikazi
ambapo leo hii anatarajiwa kufika jijini Dar kwa ajili ya mazishi ya
mumewe. msiba kwa Dar upo maeneo ya mtogole nyumbani kwa mama yake
marehem Jaffari
Post a Comment