Mwenyekiti
wa Baraza la vijana la chadema John Heche akihojiwa na waandishi wa
habari alipohudhuria kuaga mwili wa mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi
kipya Mangwea aliyefariki nchini Afrika ya Kusini na mwili wake kuletwa
Tanzania kwa mazishi.
Vijana
wa CHADEMA, wakiongoza na Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche Jana
walijumuika na vijana wenzao na Watanzania wengine kutoa heshima za
mwisho kwa mwanamziki Albert Mangwea, leo katika viwanja vya Leaders
Club. Heche aliambatana na Diwani wa Sinza, Renatus Pamba, Kamanda
Jackson Makala na Katibu wa Tawi la Sinza C, Peter Uiso. Hapa
wanasalimiana na watu waliofika msibani, kushoto ni producer maarufu,
Mako Chali.Picha na Chadema
Post a Comment