British Actor Andrew Garfield amekubali kuwa main Actor kwenye movie mbili zijazo za spider-man.
Wakurugenzi wa kampuni ya Sony wametangaza kutakuwa na movie mbili za spider man, ya kwanza itatoka 2016 na nyingine itatoka 2018.
The Amazing Spider-Man iliyotayarishwa na Marc Webb, ilifanikiwa kufikia mauzo ya pound million 480.
The Amazing Spider-Man 2 inatarajiwa kutoka 2016 na Jamie Foxx ndiye atakaye kuwa adui mkuu kwenye movie hiyo
إرسال تعليق