Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
إرسال تعليق