Najiuliza maswali sipati jibu,ni kweli kuwa wanapofanya ngono mwanamke anainjoy au tu kwa sababu ana shida na anataka litatuliwe,na kwa nini hawa Wanganga wa kienyeji na Madaktari
wanafanya hivi?Mtu mmoja jina Kapuni aliwai kuniambia kuwa mke wake ni Nesi na kwa bahati mbaya alikuwa anatembea na mgonjwa,jamaa kuuliza akajibiwa kwamba ni kawaida MADOKTA na Manesi kutembea na wagonjwa,daah!! Ingekuwa wewe ungefanyeje?
إرسال تعليق